Rais Samia achaguliwa kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi

wajumbe wa Mkutano mkuu maalum wamemchagua Samia suluhu hassani,Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa kura za ndiyo 1862 sawa na asilimia 100 ya kura zote

akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa uchaguzi huo ambaye pia ni spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Job ndugai

amesema hakuna kura iliyoharibika na pia hakuna kura ya hapana. Job Ndugai

No comments

Powered by Blogger.