simba kucheza na klabu ya kaizer chiefs robo fainali

katika kuelekea hatua ya robo fainali klabu ya simba  imepangiwa kucheza na klabu ya kaizer chief ya afrika kusini  14-15 may 2021 mechi itakayochezwa south africa katika uwanja wa FNB stadium na marudiano ni Tarehe  21-22 may 2021 jijini Dar es salaam uwanja wa Taifa maarufu Kwa Mkapa.

By Swidhan Mapunda.

1 comment:

Powered by Blogger.