MFAHAMU JOSHUA BHOKEYE MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI PRESS CLUB CHUO KIKUU CHA IRINGA

 Naitwa Joshua michael Bhokeye 

Nilizaliwa hospital ya bugando wilaya ya nyamagana  mkoa wa mwaza Tanzania 


Ni mtoto wa tatu kati ya watoto wa 5 wa mzee michael bhokeye na Bi sarah 


Elimu

Joshua michael bhokeye 

Alianza elimu yake ya msingi manamo mwaka 2007 ktk shule ya msingi butimba mzaoez iliyopo kata ya butimba wiliya ya nyamagana mkoa wa mwanza 


Alifanikiwa kufaulu mnamo mwaka 2013 alipomaliza elimu yake ya msingi na kujiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari nyamagana mpk 2017 alipofanikiwa kumaliza na kujiunga na kidato cha tano huko mwisho wa reli kigoma 


Ilipofika 2020 alifanikiwa kumaliza kidato cha 6 na kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika chuo kikuu cha iringa ambapo yupo hadi hivi sasa 


UONGOZI

mh. Joshua Michael amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ambapo akiwa kidato cha 3 aligombea nafasi ya uwaziri wa shule ya sekondari nyamagana mwanza na kufanikiwa kupita 

Aidha ktk awamu hiyohiyo alifanikiwa kuwa rais wa shule hiyo baada ya aliekuwa rais kuvuliwa madaraka na uongozi wa shule na kukabidhiwa Joshua kuwa Rais wa shule hiyo ambapo alitawala mpaka alipomaliza kidato cha nne mwaka 2017 na kutunukiwa cheti cha uongoz bora 


Pia mh joshua amewahi kushika nyadhifa mbalimbali alipokuwa kidato cha 5 & 6 alifanikiwa kuwa kiongozi wa taaluma ktk shule ya sekondari ujiji ambayo ipo chini ya chama cha mapinduzi 


Hii leo mwaka 2021 ameingia ktk kinyang'anyiro cha uenyekiti wa press club

1 comment:

  1. Kaka Mungu Akutangulie katika kusaidia utakao waongoza neno la mungu linasema mwenye haki hakitawala hata watawaliwa ufurahi wwe n mwenye haki nenda kaitende haki

    ReplyDelete

Powered by Blogger.